Kushoto Bw.Tumaini Katule akiwa kwenye kumfariji mfiwa Bw.Stephen Msungu nyumbani kwake Savern Md.Ijumaa Februari 20,2015. Steve amefiwa na baba yake mzazi Mzee Peter Msungu aliyefariki Ijumaa February 20 jijini Daressalaam Tanzania.
Baadhi ya wakazi wa DMV Kie, Edda, Mametha na Melissa waliojitokeza msibani kuwafariji wafiwa.
Hidaya Mahita. Kenny na Neema .
jamani poleni sana wafiwa wote pamoja na ndugu na jamaa na marafiki poleni sana.
ReplyDeletesote ndo njia yetu hii kuna siku na sisi tutakwenda ,tulimpenda sana marehemu but mungu kampenda sana.poleni sana katika wakati mguumu huu mungu akupeni moyo wa kustahamili.kazi ya mungu haina makosa.poleni sana.
from mdau yule yule.