Monday, February 23, 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHANI MSIBA WA CHIFU ADAM SAPI MKWAWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chifu wa Wahehe , Mtwa Adam Mkwakwa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe,Mtwa Adam Mkwawa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chifu huyo, Marehemu Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi karibuni.Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake