Monday, February 23, 2015

YAMOTO BAND YAWASHA MOTO LONDON

Yamoto Band wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kalage kwenye usiku wa onesho la Mkubwa na Wanae (Yamoto Band) siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 jijini London nchini Uingereza wapili toka kushoto ni mratibu wa safari ya wasanii hao Bi. Jestina George.
Mkubwa na Wanae (Yamoto Band) wakishambulia jukwaa huku shabiki akishindwa kujizuia nae akienda smbamba na wasanii hao jukwaani siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 jijini London nchini Uingereza.
Yamoto Band wakilishambulia Jukwaa.
Yamoto Band ikiendelea kuwasha moto jijini London.
Mdada akinogesha onesho la Yamoto Band.
Mashabiki lukuki wakipagawa na Yamoto Band.
Picha na Ally Muhdin mwakilishi wa Vijimambo London, UK.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake