YANGA wameendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu soka Tanzania bara kufuatia kuichapa Mbeya City fc mabao 3-1 na Prison 3-0 katika mechi za ligi kuu zilizopigwa huko Mbeya Yanga imezoa point 6 na magoli 6 kwenye uwanja huo baada ya kuzipiga Prison na Mbeya City Kibajaja kila mmoja jumatano hii Yanga kupaa kwenda Botswana wakiwa na matumaini makubwa ya kushinda kwenye mchezo huo utakaopigwa Ijumaa hii huko Botswana na timu ya BDF XI.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake