DK 18 Msuva anaruka juu kuiwahi pasi nzuri ya Niyonzima na kufunga bao safi la kichwa....Dk 59, Ngassa anampiga chenga kipa Burhani aliyejaribu kumpiga chenga yeye na kuandika bao la pili kwa Yanga kwa ufundi kabisa...Dk 68, Peter Mapunda anaruka na kufunga bao zuri kwa kichwa kuwahi krisi nzuri ya Felix.Kona safi iliyochongwa na Niyonzima, inatua kichwani mwa Tambwe anafunga bonge la bao. Hadi mwisho wa mchezo Yanga 3 Mbeya City 1. Kutoka Shinyanga Simba wapigwa tobo moja tu bila majibu.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake