ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 15, 2015

HOUSTON, TEXAS NAO WASEMA "IMETOSHA" MAUAJI YA ALBINO TANZANIA


Ephaim (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Jenga siku ya Pazi Reunion iliyofanyika Houston. Jenga akiwa amevaa fulana yenye picha ya Albino ikiwa ni ishala ya kupinga mauaji ya ndugu zetu hao mabayo yametikisa Dunia hivi sasa.

2 comments:

Anonymous said...

Mpeni heshima Yake huyo ni Dr Jenga .Amepiga shule

Anonymous said...

Ni kweli kabisa huyo kaka namjua, ana busara, ana PhD, ana Doctorate na tafadhali tumtambulishe kama Dr Jenga. Na kaka Ephraim vile vile ni wenzetu huku Marekani wenye roho za upendo, ushirikiano na uzalendo wa hali ya juu. Tunaomba tuwaunge mkono na tuendeleze harakati za kupinga mauaji ya wenzetu wenye matatizo ya ngozi (Albino). Asanteni!!