Thursday, March 5, 2015

WADAU WAMTEMBELEA BALOZI MSTAAFU MSTAFA NYANG.ANYI

Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi (kulia) ,pamoja na wasaidizi wake walipomtembelea balozi mstaafu Mustafa Nyang'anyi nyumbani kwake Gaithersburg,Maryland nchini Marekani. Kuanzia kushoto ni Zuberi Athumani, Balozi Mstaafu Mustafa Nyang'anyi, Shemuni Halahala na Awadh Zuberi,

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake