ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 17, 2015

YANGA NA ZIMBABWE CHUPU CHUPU MILL 100

Kitita hicho cha Sh milioni 91 kimetokana na watazamaji 14,563 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo.
Yanga iliwakung'uta Wazimbabwe hao kwa mabao 5-1 katika mechi hiyo ya kwanza ya Kombe la Shirikisho.
Mgawanyo: 
Mgawanyo wa mapato katika mchezo huo ni, VAT 18% Sh 13,982,033, Gharama ya tiketi Sh 12,380,000, Uwanja 15% Sh 9,794,694.92, Gharama za mchezo 15% Sh 9,794,694.92, TFF 5% Sh 3,264,898.31, CAF 5% Sh 3,264,898.31 na Yanga 60% Sh 39.178,779.66 (baada ya 18% ya vat kuondolewa).
IMETOLEWA NA MSEMAJI SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA (TFF), BARAKA KIZUGUTO.

No comments: