Kiwanja kitakachopigiwa mtanange
Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills
Timu zote zipo kwenye mazoezi makali zikijiwinda na mpambano huo.
Anuani ya uwanja ni 8001 Walker Mill Road, District Heights, MD, 20747,
Jezi
Jezi
Jezi
Jezi
Jezi
Jukwaa la watazamaji
1 comment:
Kutokana na upungufu wa wachezaji mpira Upande wa Zanzibar, tunamrudisha Dulla visiwani na tunamrecruit Seif Ndosa Zanzibar...
Post a Comment