Bwana na Bi. harusi wakiingia kwenye ukumbi wa Best Western Lanham, Maryland siku ya Jumamosi April 4, 2015 kusherehekea harusi yao iliyohudhuria na ndugu,jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo Tanzania.
Bwana na Bi. harusi wakiingia ukumbini huku wakipigiwa vigeregere.
Ndug, jamaa na marafiki wakiwashangilia huku wengine wakipata ukodak moment baada ya maharusi kufika meza kuu.
Maharusi wakiwa meza kuu.
Maharusi na wapambe wao.
Maharusi wakichukua chakula.
Maharusi wakila chakula.
Bi. harusi akimlisha keki bwana harusi.
Bwana harusi akimlisha keki bi. harusi.
Husia wa maharusi kutoka kaka wa bi. harusi kwa niaba ya wazazi.
Kwa picha kibao bofya soma zaidi
husia wa maharusi toka kwa mama mzazi wa bwana harusi.
wakati wa kugonganisha glasi.
densi ya kwanza ya maharusi.
Bi. harusi akitoa burudani kwa kuimba wimbo wa injili akiwa na wanandugu huku bwana harusi akisikiliza.
4 comments:
harusi imependeza mno.. bibi harusi nimependa sana nguo yako umependeza.. nani amepika vyakula so nice
May the lord bless the reunion of brother Emmanuel and Heppi.you both looked amazing and beautiful reception. More so classy everyone from bridesmaid and grooms looks awsomee.
Hongereni na Mungu awatangulie.
Very nice wedding,everything is on point,the bride look amazing,ni Edah Gachuma ndio aliepika chakula,very nice
Post a Comment