JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wa pili kulia akiangalia matengenezo ya jengo la mahakama ya Mkoa Chakechake wa mwanzo kulia ni Naibu mrajisi wa mahakama kuu Zanzibar Mhe, Ali Ameir, jengo ambalo linafanyiwa matengenezo makubwa hivi,
MFANYAKAZI wa mahakama ya mwanzo Kengeja Mgeni Abdalla akielezea matatizo yanayowakabili katika mahakama yao, mbele ya Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wakati alipotembelea mahakama hiyo kujua matatizo yao yanayowakabili
HAKIMU wa Mahakama ya Wilaya Mkoani Is-haka Ali (kulia) akitoa muhtasari wa taarifa ya utendaji wa kazi katika mahakama hiyo kwa jaji mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wa mwanzo kushoto alipofika katika mahakama hiyo katikati ni naibu mrajisi wa mahakama Mhe. Ali Ameir,(Picha na Ameir Khalid, PEMBA)
No comments:
Post a Comment