Monday, April 6, 2015

KAMA ULIPITWA NA MANENO YALIYOSABABISHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTEMBELEA KITI PITIA VIDEO HII NA CHANGIA NENO

9 comments:

  1. Gwajima ayuko sawa ,anajuwa ,anachaoongea ,mungu ,amsaidie ,Gwajima. haaaaaa.

    ReplyDelete
  2. Inasikitisha Gwajima analugha chafu, ni aibu kutukana. Acha hasira unaweza kutofautiana kistaarabu . Uchochezi na ushabiki wa aina hii ni hatari!!!!

    ReplyDelete
  3. Hii noma kapagawa na mapepo

    ReplyDelete
  4. Kwan Gwajima ndio nani?

    ReplyDelete
  5. Kwani Gwajim ndio nani?

    ReplyDelete
  6. Kwani Gwajima ndio nani?

    ReplyDelete
  7. Muhuni na wahuni wenzie wako kazini.

    ReplyDelete
  8. Jamani Gwajima huwa hatoi Mgao kwenye media kama wengine na wanasiasa..sasa mtaandika mpaka mtachoka...

    ReplyDelete
  9. Kuna nahau ya hekima inasema " Politeness cost nothing but it gives pleasure to everyone/everybody" Gwajima based on above character you displayed take lesson from this!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake