ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 21, 2015

MAJAMBAZI WANASWA NA JESHI LA POLISI DAR

 Vijana ambao wametiwa nguvuni kwa tuhuma za ujambazi huku wakiwa wamekamatwa wakiwa na bunduki mbili 
Wakiwa wamelazwa chini mara baada ya kutiwa nguvuni

 Polisi wakiwa wamelizingira gari lililokuwa likitumiwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi ambao wamempora raia mmoja wa kigeni na kufanikiwa kukimbia huku msamaria mmoja ambaye aliwaona na kuamua kuwafuatilia huku akiwasiliana na polisi na hatimaye kufanikiwa kuwatia nguvuni

No comments: