ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 18, 2015

MWANAMUSIC JOHNNY KEMP 55 AKUTWA AMEFARIKI UFUKWENI MWA BAHARI HUKO JAMAICA



Johnny Kemp mwimbaji wa R&B aliejipatia umaarufu na wimbo wa Just Got Paid mwaka 1989 alivyoimba kwenye Soul Train mwaka huo. Kifo cha Johnny kililipotiwa na polisi baada ya kukutwa kwenye ufukwe wa bahari wa Montego Bay Jamaica.

Hapa Johnny akiwa na familia yake mke na watoto wao wawili picha hii ilikuwa imewekwa kwenye page yake ya facebook tarehe 1 April, 

No comments: