Going Bongo ni filamu ya kitanzania pekee yenye viwango vya kimataifa. Filamu hii pia ni ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika na kampuni ya Apple ili iuzike kwenye iTunes. Filamu hii inapatikana hapa bit.ly/goingbongoitunes na DVD zinapatikana hapa bit.ly/goingbongodvd. Filamu hii ilizinduliwa Tanzania wikiendi iliyopita. Zifuatazo ni picha za uzinduzi huu. Toa maoni kama umeiona au utapenda kuiona.
No comments:
Post a Comment