ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 3, 2015

RAIS JAKAYA KIKWETE AHUTUBIA WILSON CENTER WASHINGTON, DC


Video ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipohutubia Wilson Center
Andrew Selee Makamu wa Rais Wilson Center akimwelezea Rais Jakaya Kikwete kabla hajamkaribisha kuhutubia wadau kutoka nchi mbalimbali waliojitokeza kwa wingi siku ya Ijumaa April 3, 2015 Wilson Center iliyopo Washington, DC.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia Wilson Center mchana wa siku ya Ijumaa April 3, 2015 jijini Washington, DC.
Wadau kutoka nchini mbalimbali wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete alipokua ahihutubia Wilson Center iliyopo Washimgton DC siku ya Ijumaa April 3, 2015.
Bi. Monde Muyangwa ambaye ni mkurugenzi wa maswala ya Afrika Wilson Center akiendesha kipindi cha maswali na majibu mara tu baada ya Rais Jakaya kikwete kumaliza kuhutubia Wilson Center siku ya Ijumaa April 3, 2015 jijini Washington, DC.
Wadau kutoka nchi mbalimbali wakiwemo Watanzania wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, wapili toka kushoto mstari wa mble ni Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania na Canada Colonel Adolph Mutta.
Watatu toka kulia mstari wa nyuma ni Dr. Hamza Mwamoyo mkuu wa idhaa ya kiswahili Voice Of Amerika akijumuika na Watanzania wengine waliofika Wilson Center kumsikiliza Rais Jakaya Kikwete, kulia kwa Dr. Hamza Mwamoyo ni Aziz. Mwingine kulia mstari wa kati ni Julia Nyerere
Watatu toka kushoto karibu na kamera ni Makamu wa Rais Jumuiya ya Watanzania DMV Bi. Harriet Shangarai. kushoto kwake ni Bi. Zawadi Ukondwa nao wakifuatilia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipokua akihutubia Wilson Center jijini Washington, DC siku ya Ijumaa April 3, 2015.
Wadau kutoka nchini mbalimbali wakiwemo Watanzania wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete.

No comments: