ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 19, 2015

SHOW YA DIAMOND NA ZARI MAY MOSI PALE MLIMANI CITY KIINGILIO VIP MILLION 3


Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini ni Elfu 50.
Msanii huyo Millionea anayetoa bima ya afya kwa wakazi mia mbili wa Tandale kutibiwa bure ametaja leo viingilio hivyo.

And here are the Official Entrance fee for Zari All white Party 1st of May 2015, Mlimani City...
50,000/= 100,000/= VIP

1,000,000/= VIP Table plus 4 tickets & Drinks Coupon....

3,000,000/= VVIP Table plus 8 tickets & One Million Drinks Coupon... ( for the VIP & VVIP Table booking Call +255755700400 )......

( Hizi ndio Bei Maalum za Viingilio katika White Party tareh 01 |05 |2015
50,000/=
100,000/= VIP
1,000,000/= Meza ya VIP sambamba na Tiketi Nne na Vinywaji vya Bure
3,000,000/=VVIP sambamba na Ticket 8 na Vinywaji vya Bure vya Milioni Moja...) kwa maelezo na Kuwai Meza piga +255755700400 #KIMENUKA

3 comments:

Anonymous said...

Huyu Diamond ni nani yeye, siwezi kutoa hata senti moja yangu kwenda kwenye show yake , hata angesema ni bure nisingepoteza muda wangu. wekeni habari za maana kila siku Diamond na Zari mwenye watoto wa umri nusu ya umri wa diamond mwenyewe. Diamond rangi inakuzuzua nini mfupa aliushindwa fisi wewe utauweza kweli?

Anonymous said...

He! jamani! waswahili wana mambo kweli. hayo ya kumchambua diamond na zari yanatokea wapi tena? hapo imeongelewa show na kiingilio chake tu. haihusiani na rangi ya mtu, umri wala watoto wake. na havihusiani hivyo vitu jamani. tuwe waelewa.

Anonymous said...

Mbona povu linakutoka hivyo, huyo aliekwambia huende nani hii we wapi kama hutaki kusoma habari zake si huziruke chefuuuu