The Stolen Will ni movie nzuri ya kitanzania, wakati ukiwa kwenye mapumziko yako ya mwisho wa juma angalia uburudike na pengiine upate fundisho.
1 comment:
Anonymous
said...
Nimeiangalia movie hii na kwa ujumla in plot nzuri. BUT 1. Subtitles za Kiingereza zina makosa meni tu 2. Movie ni ndefu bila sababu maalum - it could be shorter 3. Mahakamani wanasheria hawanyooshi kidole (Dr Cheni) sio darasani hapo. Kabla ya kucheza movie wahudhurie mahakamani waone kesi zinavyoendesha. 4.Marehemu Kanumba alizidi kuomba kama mfanyakazi. It is a bit unfair to kill someone because he does not give you a loan or he has to seek permission from his daughters to give you anything. 5. Judge/Hakimu called Mshtakiwa Chris? while lawyers referred to him as Christopher? 6. Judge katoa hukumu kwa Daktari Mwendapole ambaye hakushtakiwa? hata kama kuna kesi ya kujibu, ni lazima mtu ashtakiwe na DPP (Jamhuri) na kesi isikilizwe kabla ya kutoa hukumu. Jaji angeweza kumpa contempr of court tu sio zaidi (on the spot) 7. Cheni ni mwanasheria wa Serikali au anawawakilisha walalamikaji? Does he have a name in the movie? Asante mwanasheria? it is a bit silly Anyway, it was great to See Kanumba in action, this is the first one for me. RIP Kanumba
1 comment:
Nimeiangalia movie hii na kwa ujumla in plot nzuri. BUT
1. Subtitles za Kiingereza zina makosa meni tu
2. Movie ni ndefu bila sababu maalum - it could be shorter
3. Mahakamani wanasheria hawanyooshi kidole (Dr Cheni) sio darasani hapo. Kabla ya kucheza movie wahudhurie mahakamani waone kesi zinavyoendesha.
4.Marehemu Kanumba alizidi kuomba kama mfanyakazi. It is a bit unfair to kill someone because he does not give you a loan or he has to seek permission from his daughters to give you anything.
5. Judge/Hakimu called Mshtakiwa Chris? while lawyers referred to him as Christopher?
6. Judge katoa hukumu kwa Daktari Mwendapole ambaye hakushtakiwa? hata kama kuna kesi ya kujibu, ni lazima mtu ashtakiwe na DPP (Jamhuri) na kesi isikilizwe kabla ya kutoa hukumu. Jaji angeweza kumpa contempr of court tu sio zaidi (on the spot)
7. Cheni ni mwanasheria wa Serikali au anawawakilisha walalamikaji? Does he have a name in the movie? Asante mwanasheria? it is a bit silly
Anyway, it was great to See Kanumba in action, this is the first one for me. RIP Kanumba
Post a Comment