ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 3, 2015

"WAKATI MWINGINE USIRI UNA BARAKA ZAIDI.....ALHAMDULILAH' HAYO NDIO MANENO YA DIAMOND KUASHIRIA HARUSI YAKE NA ZARI

 Picha alizotupia Diamond kwenye instagram yake akiwa na Zari huku akiwa ameandika maneno ya mafumbo yasemayo "Wakati mwingine usiri una baraka zaidi kuashiria ndoa yake na Zari picha ambazo ndio gumzo kwa sasa kwenye kila mitandao.
 Diamond na Zari katika picha.
Hiyo ndio habari ya mujini.

6 comments:

Anonymous said...

pete kidoleni basiiii muwarushe roho zaidiii wanao fuatilia mambo yenu.

Anonymous said...

Hahaha! very happy for them! Mapenzi na ndoa yao idumu milele!

Anonymous said...

She has abandoned her 3 kids and pretend to be New Mother.

Anonymous said...

Ushauri wangu kwa Diamond. Believe me there are a host of people wakiomba ndoa yako isifanikiwe. please prove them wrong. Mjali mkeo na familia yako tu. Sisi wengine ni mashabiki leo kesho maadui. Nakuombea kwa Mungu ndoa ibarikiwe na idumu kwa maisha yenu wote. Pleaase prove wrong those who do not wish you well. God bless.

Unknown said...

Diamond suti yako nzuri sana. umependeza sana. Ila you are married to a woman of three kids who are all boys. Kasheshe sana hiyo utaitwa Baba wa kambo. Na maishani hutaki mambo ya vijana kukuchukia kisa unakula mali ya mama yao.

Anonymous said...

Hiyo siyo harusi wanarekodi jamani mkiona nguo nyeupe mnaona ni harusi duuuh