ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 15, 2015

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK

Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao zinapamba ukumbi wa Mkutano wa Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu
Mhe. Sumaye na Mama Esther wakipozi katika baadhi ya vivutio vilivyomo katika Ofisi Mpya za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Jengo la Uwakilishi wa Kudumu lilifunguliwa rasmi mwishoni mwa mwezi March na Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Waziri Mkuu Mstaafu. Mhe. Frederick Sumaye akiandika katika kitabu cha wageni wakati alipoutembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mtaifa, mwishoni mwa wiki, pembezi yake ni Mama Ester Sumaye, na Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa.

No comments: