ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 18, 2015

KUNDI LA DOLA YA KIISLAM LAUTWAA MJI WA RAMADI NCHINI IRAQ


Mji wa Ramadi nchini Irak umetwaliwa na wapiganaji wa kundi la Dola ya Kiislam baada ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo kuzidiwa nguvu na kuondoka.


Vikosi vya askari polisi na jeshi la Irak vimelazimika kurudi nyuma baada ya siku kadhaa za mapigano makali.

Hata hivyo Marekani, imekanusha kutwaliwa kwa mji huo na kusema kuwa hali ni tete na kuongeza kuwa bado ni mapema mno kutoa taarifa ya uhakika.

No comments: