Tarehe 23/05/2015 asubuhi ya Tanzania nimefiwa na kaka yangu mkubwa Bw Casim Jaffer Manji
(Jalejale) Kongowe kwa binti yetu Anna Kepha mtoto wa marehemu dada Mwl Cecilia Hatia, Napenda kutumia nafasi hii kumjulisha Abasi Manji na akina Manji wa DSM. Familia ya Jaffer Manji wa Bombey, wadogo zangu
Dr Geofrey Hatia Nambira wa Namibia, Isaya Hatia wa Finland, na aunt Eva Mack Hatia wa Finland. Familia ya marehemu mzee Abdruhaman Bellim, familia ya mzee Abdala, mzee Jalabi, na shangazi Anna Mchauru wa Masasi ya zamani na Mkuti, ukoo wa che Mbungo wa Lukuledi Masasi, na ukoo wa Hatia wa Ndanda. Na Deo mwalujua na familia yake wa Columbus Ohio.
Kwa taarifa za mipango na ratiba ya mazishi wasiliana na
Mwl Mack Hatia wa Azania sekondari 225 0754 290 013
Kilian kamota 225 653 0763 200
Constancia Hatia (Mrs Solmon) 225 0712 555 966
Musa Kamota 225 075 609 370
Fidelis Mrope 225 0713 410 321
Hendrich Nambira (Kenny) 225 0715 965 321
Joseph Hatia (Ndugu) 225 0713 987 173
Mungu amempenda Zaidi kaka yetu. Tushukuru kwa yote.
Mama Bishanga / Mrs Marolen
Ohio / USA
No comments:
Post a Comment