Atufugwege Mponi na Neema wakiwa katika picha kwenye harusi yao iliyofanyika Mbeya Octoba 19, 2013 na kabla ya hapo walifanya sendoff party Octoba 11, 2013 jijini Dar.
Atufugwege Mponi na Neema wakipata picha wakiwa meza kuu katika sherehe ya utambulisho wa Neema iliyofanyika siku ya Jumamosi May 16, 2015 katika ukumbi wa Hampton Inn na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa DMV.
Atufugwege Mponi na mkewe Neema wakinyeshana kinywaji chepesi huku wakishuhudiwa na wapambe wao.
Atufugwege Mponi na Sanga wakicheza mmoja ya wimbo wa injili jinsi wanavyocheza Mkoani Mbeya.
Densi ya kwanza
Mshereheshaji Sunday Shomari
No comments:
Post a Comment