Emma Nko anasikitika kutangaza msiba wa mpendwa mama yake mzazi ukiotokea Tanzania leo alifajiri. Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu ukipata nafasi tafadhali fika nyumbani kwa Emma na kutoa mkono wa pole au unaweza piga simu namba
2024608638. Address ni 3837 Hamilton street apt 302 hyatsville MD 20781.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na Jina lake lihimidiwe
No comments:
Post a Comment