ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 23, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA


Mr. and Mrs Njapuka of Bowie MD, wanasikitika kutangaza kifo cha mama mzazi wa Hamza (Hellen Njapuka) kilichotokea Dar Es Salaam, Tanzania siku ua jumamosi May 23, mipango ya mazishi inafanywa. Kama ilivo desturi  yetu kupeana mkono wa pole.
Anwani
1801 Saint Georges Way, Bowie MD 20721.

Account # 9884142226 Wells Fargo (Njapuka) au Account # 6636580711 Wells Fargo (Makimosha)

Maelezo zaidi piga simu
Hamza Njapuka 301-851-1690
Grace Sebo 202-271-1860
Pastor Peter Igogo 240-487-8565

No comments: