Anemia ni upungufu wa damu yenye upungufu wa hemoglobin ambayo imepungukiwa madini chuma yanayopatikana kwenye red bloodcell, umuhimu wa hemoglobin au madini chuma ni kusafirisha Oksyen mwilini. Mtu mwenye upungufu wa madini chuma, mara nyingi anajisikia ni mtu aliechoka, mwenye kujihisi kuzunguzungu na anaye penda, kupumnzika, au anapenda kulala, sababu za upungufu wa damu zipo nyingi. cha muhimu ni maitaji muhimu ya vyakula vya kuongeza damu, ili uweze pata madini chuma ya kutosha mwilini, yanapatika kwenye nyama. hasa ya maini, na badhi ya mboga mboga, na ikichangiwa na mazoezi pia
1 comment:

Post a Comment