Karibu tukumbe enzi zile za White House Kimara muziki wa Kamanyola kucheza bila jasho, Marashi ya Pemba, King Kikii na nyingine nyingi enzi za rangi ya chungwa
FRIDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, DC THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ LUKE
NO COVER CHARGE
Wazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May Mosi
Safari Club
6 comments:
kwa wale mnaoshereheka hii skukuu juulizeni nyinyi ni wa mungu au wa shetani. someni historia ya sherehe hii muanzilishi ni nani.na je na wewe unataka kujihushisha na muanzilishi huyo.
kumpenda mpenzio si siku ya valentine peke yake ni kila siku kila saa ya maisha yako na yake na mapenzi ya kweli.
tafakarini sina nia ya kuchafua sherehe zenu na samahanini kama nimekukwazeni mnaosherehekea hii skukuu.
ahsanteni
mwanzilishi wake anaitwa valentine ni mfaransa alikuwa anatembelea wagonjwa na kuwapa maua hospitalini na kuwafariji na kusali nao pamoja. ndipo 18th century pope akampa kuwa saint na kuwa saint valentine, sababu tunaadhimisha hii siku February 14 ni kwa siku yake ya kuzaliwa st.valentine. kama ulivyosema usije ukatuharibia hali ya hewa maana hujui historia ya hii siku sasa unataka kuleta udini wako hapa. tukalie mbali sisi tufaidi maisha wewe endelea na ujinga wako wa kuuliza ni ya shetani au mungu!!!
Nakubaliana na huyo anonymous wa pili...wewe anonymous kwanza vipi wewe hebu kwenda zako huko usitu halibie.siku
Nakubaliana nahuyo anonymous wakwanza
I agree with the first anonymous. ...plz don't spoil our day!!
Wote hapo juu hivi wazima kweli may mosi na Valentine wapi kwa wapi acheni kudata
Post a Comment