Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia kila la heri watanzania wote walio nyumbani na nje ,Heri na baraka, Amani,Mshikamano na Upendo katika maadhimisho ya sherehe za siku kuu ya wafanyakazi MEI MOSI.
TUZIDISHE JUHUDI KAZINI ! KAZI NI KAZI
Sherehekea MEI MOSI kwa muziki at www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment