ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 16, 2015

SHEILA NA JULIUS WAKAMATA NONDO CHUO KIKUU CHA MARYLAND

Sheila na Julius wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamata nondo ya 2nd Masters ya MBA katika chuo kikuu cha Maryland nchini Marekani.
 Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja na Sheila Mgaza
 Sheila Mgaza akipata picha na marafiki zake.
 Sheila akiwa katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
 Picha zikiendelea.
 Wakati wa kukabidhiwa nondoz.
 Mama mzazi wa Sheila Baybe Mgaza akifurahia jambo ( Picha zote naTito Mazali)

No comments: