Karibuni Sana Wapendwa Wote
Mnakaribishwa sana
kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
kuadhimisha sikukuu ya wakina mama
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,
Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 31 Mei 2015.
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe na anwani.
Kwa niaba ya Fr. Leandry Kimario, ni katibu Dani Steven
Wenye mitandao manaombwa mpeperushe tangazo hili na pokeeni shukurani zetu za dahti kwa huduma zenu bora kwa jamii.
No comments:
Post a Comment