Advertisements

Friday, May 1, 2015

TANZANIA DMV SOCCER TEAM, DIASPORA WORLD CUP 2015

TUTAKUWA NA MECHI JUMAPILI HII, MAY 3, 2015, SAA 1 JIONI (7PM) DHIDI YA ZIMBABWE

ANUANI YA UWANJA: HEURICH STADIUM
6001 Ager Road, Hyyattsville, MD 20782

TANZANIA DMV SOCCER TEAM INAOMBA MCHANGO WAKO WA HALI NA MALI. TAFADHARI BONYEZA HAPA KUCHANGIA SAIDIA TANZANIA DMV SOCCER TEAM 

Tunatoa changamoto kwa wazazi wenye watoto wa "High school" na "College" wanao taka kujiunga na TANZANIA DMV SOCCER TEAM wawasiliane nasi

MWENYE MOYO WA KUJIUNGA NA TIMU AU KUSAIDIA WASILIANA AU NENDA KWENYE LINK HAPO JUU:
Abdul  Riyami 703 853 8480
Evans Shangarawe 571 969 8332
Jabil Jongo 240 604 0574
Kheri Yahaya 202 569 9798
Liberatus  Mwang'ombe  "Libe" 240 423 3331
Seif Kadiria 202 286 6595

Link ya Ligi: DIASPORA WORLD CUP
Tunatanguliza shukrani za dhati.
Tanzania DMV Soccer Team 2015 All rights reserved

2 comments:

Anonymous said...

Wanzanzibari nao wako katika timu hii? Acheni utani wadau, na wao ni WATANZANIA this time around? si ndo wanasema eti muungano ni unafikinafiki tuu? Give me a break folks!

Anonymous said...

Hi ! Kumbe wazanzibari wamewekwa chonjo? Makubwa!!!