Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Seattle wakipata picha ya kumbukumbu na Afisa wa Ubalozi Bi. Swahiba (aliyekaa kwenye kiti) alipokua Seattle jimbo la Washington kwa ajili ya kutoa huduma ya kuongeza muda kwa pasi za kusafiria za Watanzania wanaoishi jimbo hilo na majimbo jirani.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Seattle, Bwn. Mutta na familia yake wakisaidiwa na Afisa Ubalozi Bi. Swahiba jinsi ya kujaza fomu na utiaji wa alama za vidole kwenye karatasi kwa ukamilishaji wa kuongezeza muda pasi ya kusafiria au kupata pasi ya kusafiria mpya
Watanzania Seattle wakiendelea na zaezi la kuongeza muda au kuomba pasi ya kusafiria mpya.
Watanzania Seattle wakijaza fomu za kupata pasi mpya au kuongeza muda.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment