Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wameongoza makundi ya vijana kutoka Shirikisho la Vyuo Vikuu pamoja na Machinga wa mjini Mwanza kukimbia mchakamchaka (jogging) kwa umabali wa kilomita 8,kuanzia Barabara ya Stesheni,kupitia barabara ya Posta,Kenyatta, Karuta,Lumumba maeneo ya Soko Kuu mpaka Stendi ya zamani Tanganyika.
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo,Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Masoor na Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana akikimbia mchaka mchaka (jogging)katika mitaa ya jiji la Mwanza ,wengine pichani ni Katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana Mpanda(kushoto),Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu na wa mwisho kulia ni Mwenezi wa CCM mkoa wa Mwanza Magelepa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na vijana walioshiriki mchakamchaka (jogging) na kuwataka kuendelea kufanya mazoezi kwani yanasaidia kuimarisha afaya na kujenga mwili.
Viongozi mbali mbali walishiriki mchakamchaka huo akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo,Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Masoor na Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana akikimbia mchaka mchaka (jogging)katika mitaa ya jiji la Mwanza ,wengine pichani ni Katibu wa CCM wilaya ya Nyamagana Mpanda(kushoto),Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Ndugu Miraji Mtaturu na wa mwisho kulia ni Mwenezi wa CCM mkoa wa Mwanza Magelepa.
No comments:
Post a Comment