ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 11, 2015

MAMA LAO KUIPAMBA STARA FASHION SHOW JUNE 13, 2015

asia
Ni usiku wa ‘Stara Fashion Show’ ambayo inategemea kufanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 13 June 2015.
Hivyo hupaswi kukosa show hiyo kwani Mama wa mitindo alimaarufu kwa Jina la Asya Idorous Khamsin ataipamba Fashion Show hiyo kwa mitupia ya hatari,
Itakuwa ni mapema sana kuanzia saa moja jioni Katika Ukumbi wa City Garden ni onyesho la kipekee lenye mavazi ya heshima tofauti na jinsi ambavyo umezoe kuona Fashion Show zingine.
Usiku huo umeandaliwa na Kampuni ya ‘Jast Tanzania Limited’ chini ya usimamizi wa mratibu wa Kampuni hiyo Juhu Mohammed Kessy wakishirikiana na Founder wa Kampuni hiyo Latifah Makau.

Wana kuletea raha zote na burudani nyingi kwa mtonyo wa buku 20000/= yaani elfu Ishirini tu! na kwa wale wa VIP ni elfu 40000/= tu. Usicheze mbali

No comments: