ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 28, 2015

MKUTANO MKUU WA JIMBO LA ISMANI WAFANA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Ismani uliyofanyika leo katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Kichangani, mjini Iringa.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Ismani wakifuatilia kwa makini taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 -2015 kutoka kwa mbunge wao, Wiliam Lukuvi uliyofanyika leo katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Kichangani, mjini Iringa.


Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Ismani. 
Wazee wa kimila
Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Hassan Mtenga akifurahia jambo wakati wa mkutano mkuu wa jimbo la ismani, kulia kwake ni mbunge wa jimbo hilo, William V. Lukuvi leo. Mkutano huo ulilenga kutoa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010-2015.


No comments: