ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 5, 2015

Bonaza Masauni Cup Lafana Viwanja vya Malindi Mnazi Mmoja Miembeni Yatoka Kivua Mbele dhidi ya Rahaleo kwa Mabao 4---0

Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Rahaleo kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Miembeni, mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. timu ya Rahaleo imekubali kipigo cha mabao 4--0  
Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza Masauni Cup, kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Rahaleo  mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. timu ya Rahaleo imekubali kipigo cha mabao 4--0 

Golikiwa Mkongwe wa Timu ya Miembbeni Saleh Machupa akiwa katika picha na wachezaji wezake ikiwa ni kumbukumbu yake kushiriki Bonaza hilo akiwa kipa wa timu ya Rahaleo akiwa tayari akishakubali kuruhusu mabao 6 golini kwake.
                                                                 Baba na Mwana
Kikosi kabambe cha timu ya Miembeni kinachoongaza katika kundi lao ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Rahaleo, wakati wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja usiku saa 3.30. 
Mchezaji wa timu ya Rahaleo na Miembeni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Bonaza Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja ili kuinua viwango vya mchezo wa mpira Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya Rahaleo na Miembeni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Bonaza Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja ili kuinua viwango vya mchezo wa mpira Zanzibar

          Mchezaji wa timu ya Rahaleo akiwa na mpira akijirabu kuwapita wachezaji wa timu Miembeni.
Hali ya wapenzi wa timu ya Miembeni wakishangilia kwa aina yake wakati wa mchezo wa timu yao na timu ya Rahaleo.
               Mchezaji wa timu ya Miembeni akimpita mchezaji wa timu ya Rahaleo.
Mshabiki wa timu ya Miembeni akionesha sarakasi baada timu yao kupata bao la 4, katika mchezo huo wa Bonaza uliofadhiliwa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Eng Hamad Masauni.linaloendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar.
Kocha wa timu ya Rahaleo akitowa maelekezo kwa wachezaji wake kuweza kushinda mchezo huo wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza timu hiyo ikiwa nyuma kwa mabao 2--0.
 Golikipa wa timu ya Miembeni akiokoa moja ya hatari golini kwake
 Wachezaji wa timu ya Miembeni wakishangilia bao lao la nne katika mchezo huo wa Bonaza Masauni Cup.
 Mchezaji wa zamani wa Timu ya Annur na Malindi na timu ya Tais wa Zanzibar Amour Azizi akifuatilia michezo ya Bonaza Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja kunuinua vipaji vya wachezaji Vijana Zanzibar lililodhaminiwa na Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar Mhe Hamad Masauni.
Mchezaji wa timu ya Rahaleo akimpiga mchezaji wa timu ya Miembeni 

No comments: