Wednesday, July 29, 2015

KIPANDE CHA HOTUBA YA UFUNGUZI WA MKUTANO WA C2C 2015


Mkutano wa C2C ulio kusanya wataalam na watoa maamuzi kutoka maeneo mengi duniani umeanza jijini DAR na kipande kidogo cha ufunguzi wa hituba hiyo kilicho jadili swala la usalama mitandao kinaweza sikika kupitia video hii.

Hakika Ni hatua muhimu sana kwa taifa letu la Tanzania kua na utambuzi mzuri katika swala la usalama mitandao.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake