Sunday, July 5, 2015

SANDRA NA GEORGE WAKIONDOKA UKUMBINI KWA STAILI YAO

 Sandra na George wakiwaaga wageni wao walipokua wakiondoka ukumbini.
 Sandra na George wakiwapungia wageni wao waliohudhuria harusi yao walipokua wakiondoka kwa staili yao ya pekee.
 Sandra na George wakiwa na furaha.
 Wakielekea kwenye usafiri wao
 Sandra na George wakishangiliwa kwa vigeregere na vifijo huku wakiimba wanameremeta.
 Sandra na George wakiwa tayari kwa kuondoka.
Familia na Bi. harusi

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake