Hapa ni polisi akimpatia maelekezo wapi kwa kupita msafiri katika kituo kikubwa cha mabasi cha Port Authority New York City.
Hapa ni Times Square sehemu maarufu sana ukifika New York City.
Polisi wakipeana majukumu tayari kuingia mzigoni.
Kikosi maalumu cha Federal Emergency tayari kwa kukabiriana na lolote ndani ya 4th july wiki endi hii.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake