Monday, August 17, 2015

CONTINENTAL WORLD PAGEANT

Mkurugenzi wa World Beauty Organization (CEO) DR PRINCE OKONKWO amesema kuwa mshindi wa MISS TANZANIA USA 2015-2016,aatatunikiwa nafasi maalumu ya kushiriki kwenye World Platform ya MISS INTERCONTINENTAL WORLD abayo itafanyika mwezi wa December mwaka huu nchini Jordan
DR PRINCE OKONKWO alisema hayo wakati wa mkutano kati ya Mkurugenzi wa MISS INTERCONTINENTAL USA PAGEANT Rr Michael Lewis MacBride, na Mkurugenzi wa MISS TANZANIA USA PAGEANT ,M a Winny Casey uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency, Bethesda, Mary land.
Hata hivyo kwa mijibu wa Ma Winny Casey alisisitiza kuwa Dr Prince Okonkwo alieleza huenda shindano hili likaamishwa kutoka Jordan na kufanyika nchi nyingine. 
Mchuana wa kumpata mshindi wa MISS TANZANIA USA 2015-2016 utafanyika tareha 22 August 2015, ukumbi wa VETERAN PLAZA.

No comments: