ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 5, 2015

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGANA RASMI NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WASHINGTON DC.

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje Balozi Liberata Mulamula aagana rasmi na wafanyakazi wake wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Baadhi ya wafanyakazi wakisikiliza kwa makini mawaidha kutoka kwa Balozi Liberata Mulamula pichani kuanzia kushoto ni Afisa Swahiba Mndeme akifuatiwa na Yacob Kinyemi wa dawati la Diaspora na mwisho ni Edward Taji msimazi wa kitengo cha visa.
 Mhe .Balozi Liberata Mulamula alipata fursa ya kumpongeza na kumpa cheti John Anbiah kama mfanyakazi bora wa mwaka wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Afisa Paul Mwafongo Mchumi wa Ubalozi akisoma risala kwa niaba ya wafanyakazi wa ubalozi.
 Nyammy Ivan mfanyakazi wa ubalozi akipata picha ya kumbukumbu pamoja na Katibu Mkuu.

 Mariam Mkama  mfanyakazi wa ubalozi akipata picha ya kumbukumbu pamoja na Katibu Mkuu.

 Col. Adolph Mutta mwambata wa Jeshi naye hakua nyuma kupata kumbukumbu na Katibu Mkuu.
 Baadhi ya Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu.
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu.
     PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI NA KWA PICHA   ZAIDI UNGANA NASI PUNDE.

No comments: