Tuesday, August 18, 2015

KONGAMANO LA KWANZA LA SERIKALI MTANDAO LAFUNGULIWA ARUSHA


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Bw.Hab Mkwizu akifungua Kongamano la kwanza la Serikali Mtandao jijini Arusha leo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha(RAS)Addoh Mapunda akizungumza kwenye ufunguzi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao,Dk Jabiri Bakari akizungumza kwenye kongamano la siku tatu jijini Arusha ambalo limewakusanya maafisa zaidi ya 600 kujadili mikakati ya kuongeza matumizi ya mtandao katika shughuli za kila siku.

Picha ya pamoja
Wajumbe wakifatilia mada kwa makini.
Wajumbe kutoka taasisi mbalimbali za serikali wakiwa kwenye kongamano hilo.

No comments: