Monday, August 17, 2015

LOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA KKKT MONDULI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishiriki na waumini wenzake wa kikristo katika ibada ya Jumapili, Kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Monduli, Jijini Arusha, leo Agosti 16, 2015.

7 comments:

Anonymous said...

duuuuh!!!!! haya makubwa sasa pia anakaribishwa madhabahuni kuhubiri???!!!! au kanisa limekuwa jukwaaa la siasa. kweli kazi ipo mwaka huu mfaa maji.......

Mr. Ally said...

Hata misikitini mara nyingi viongozi wakiwa Ijumaa kisali mara nyingi hukaribishwa kusalimia waumini. sioni hilo kama kosa.

Anonymous said...

Common now...Madhabahu ni sehemu ya Utakatifu .. not everyone is suppose to stand there careless .. kuna wengine wana Evil Spirit huwezi jua .. Halafu mnakuja kushangaa why evil stuffs happened .. Waumini need to do the work of God for God only to please Him alone and not human being...

Anonymous said...

Asante. Umesema msikitini na nakuelewa hapa. Ila kwa ufahamisho wako kwenye makanisa hakuna jambo kama hili isipokuwa tu wakati wa msiba pale ndugu na marafiki wa marehemu wanapokwenda kanisani kumwombea na kumuaga marehemu. Hapa ndipo padre au kiongozi wa dini anapomkaribisha msemaji wa familia kuja kutoa maelezo na historia ya marehemu. Kwa ajili wakati huu unakuwa ni wa wakati wa majonzi hakuna mtu mwenye busara zake timamu atakayetaka kuchanganya shughuli kama hiyo na shughuli za kisiasa.

Anonymous said...

Mdau watatu jifunze kuandika Kiswahili ukitaka kutoa hoja zako zisizo na msingi kama hizi ingia kwenye mitandao ambayo haitumii Kiswahili kama yahoo news

Anonymous said...

Acheni ujinga...hata wewe unaweza kukaribishwa regardless of dini.....chukueni vipesa vyenu na mkae kimya acheni mzee wa watu

Anonymous said...

Lowassa kawakosa nini
Mbona wanafutlisha ikulu na wengine hat and si wasilam tena kwenye nyumba za serikali mbona hamseni
Huyo magufuli kumhonga rais trektakwa peas zetu walituuliza
Imetioka kwenye fungu hizo pesa