Monday, August 17, 2015

HABARI ZA KAMATI KUU YA CCM KUMUWEKA KANDO KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU NAPE NNAUYE SI ZA KWELI

Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu Maalum leo tarehe 17 Agosti 2015,kinachoendelea kwenye Makao Makuu ya Chama,Ofisi Ndogo Lumumba.

Ndugu Msomaji, kuna taarifa za uongo zimeenezwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii zikisema kuwa Kamati kuu ya CCM imemuweka kando Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye kutoka katika nafasi hiyo na kumteua Ndugu John Chiligati kushika wadhifa huo.
Taarifa hizo si za kweli kwani Kamati kuu haijafanya uamuzi wowote wenye mlengo huo.
Wahariri naomba mpuuze taarifa hizo za uzushi zenye lengo baya na zinazoandaliwa kwa makusudio maksusi

6 comments:

Anonymous said...

Hatusu sisi

Anonymous said...

Meno ya tembo Zurich mbona serikali ya CCM
Kimya

Anonymous said...

Tunataka tujuwe meno ya tembo Zurich
Nani
Karibu mwezi sasa ya nape watanzania hatuhusu
Tunaichukia CCM Kama Hitler

Anonymous said...

Meno ya TEMBO ZURICH....MENO YA TEMBO ZURICH WANANCHI TUPATE TAARIFA KAMILI. TUAMBIANE MENO YA TEMBO ZURICH ALIYEONDOKA NAYO HAPA NCHINI NANI. MENO YA TEMBO ZURICH...MENO YA TEMBO ZURICH MENO YA TEMBO ZURICH HILO NI SWALA KUBWA LA KUJADILIWA, NA WALA SITAJUA RICHMOND YA MIAKA KUMI ILIYOPITA AMBALO MKUU WA NCHI NDIYO MAJIBU YAKE.

Anonymous said...

wewe anonymous wa 4:18pm acha ushamba wako kila kitu hitler, hebu tuambie nini unachojua kuhusu hitler. na wewe dj luka huyo jamaa kila kitu hitler hajui anachosema hata kutype yake ya kukubaisha. hebu usituwekee comment zake maaana ana upeo mdogo sana

Anonymous said...

Mdau wa tano hata wewe hujui kuandika nini maana ya kutype yake? Ulitakiwa uandike kuandika kwake au typing yake