ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 6, 2015

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro Elias Ngorisa na Madiwani, wajiunga CHADEMA

post-feature-image
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro Mhe. Elias Ngorisa, katibu wa fedha na uchumi wa CCM Wilaya ya Ngorongoro ma madiwani wajiunga CHADEMA mchana huu na Pichani Wakipokelewa na Mbunge wa Arumeru mashariki-Chadema Mhe. Joshua Nassari

7 comments:

Anonymous said...

Hapa hakuna lolote ni ukabila tuu. Bendera kufuata upepo, sababu masai mwenzao Lowassa kahamia Chadema na wao wanafuata ukabila. Utaona tuu watu wa ukabila kabila wakati huu.

Anonymous said...

Well stated, mdau hapo juu. Hawajui wanafanya makosa makubwa sana, kwani ushindi hautapatikana kwa mgombea anayeleta ukabila. Hata kama wamasai wote watamfuata Lowasa Chadema, hawawezi kuchukua dola.

Anonymous said...

Nope wewe hapo juu ndiyo umejaa ujinga.....wameondaka kwa ajili ya ujinga wao

Anonymous said...

Na mtanyooka mwaka huu,ukabila?

Anonymous said...

Wewe ndio huna point ya msingi. Ni watu kama wewe wananyanyasa wenyeji na kupendelea wageni. Wamasai kumuungu mkono Lowasa wana sababu za msingi kuliko wewe.

Anonymous said...

Nyinyi nyote mnaozungumzia ukabila ndio mmepotea kabisa, niambieni ccm imeleta maendeleo gani zaidi ya kuachia nyara za serikali kusafirishwa nchi za nnje ( kumbuka bembe za tembo na kucha na meno ya simba zilizokamatwa na waswis from Dar)

Anonymous said...

Nakubaliana na Wamasai wanaomfuata Lowassa, kwani atawongesea ng'ombe, nasikia ano ng'ombe 8,000. Kweli Masai wanayo akili jamani, siyo wajinga. Najua hata Morani watalinda geti za Ikulu, kuhakikisa Slaa na Lipumba hapana ingia ofyo ofyo!