Columbia height day ni tamsha linalofanyaka kila mwaka kwa wakaazi wa columbia height, North West Washington DC, muziki michezo ya watoto, vyakuna na vinywajivinakuwepo, na hata wafanya biashara hufika na kuuza na kuzitangaza biashara zao, nafasi kama hizi nasi watanzania tujisogeze kuuza, kutangaza biashara zetu na hata nchi yetu
Tamasha lilifana sana pamoja na hali ya mvua iliokuwepo mapema, wana usalama kama kawaida yaowaliweza kufunga mitaa husika na kuweka usalama wa kutosha kwa mali na usalama wa raia
musiki live ilikuwa kivutio zaidi, wakati wa jioni baada ya kuapata moja moto moja baridi, nazo zilikuwepo
No comments:
Post a Comment