Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM Khamis Ali Ameir alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kuzungumza na Shirikisho hilo leo,(Picha na Ikulu)
Viongozi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Taifa CCM wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipoingia katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo kuzungumza na Shirikisho a Wasomi wa Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar ambapo mkutano huo ulifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi mkutano wa shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM wakisikiliza hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar ambapo mkutano huo ulifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Risala ya Shirikisho la Vyuo Vikuu vya Zanzibar kupitia CCM Kassim Ali Khamis kabla ya kuufungua wa Mkutano wa Shirikisho hilo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment