Kha! Wewe unajulikana wazi kuwa kura yako itaenda CCM Sasa ya nini kujinadi?Shule muhimu sana Ni afadhali ungeandika kuwa unawaomba watu waungane nawe na ungetoa sababu za msingi mfyu!
ulimbukeni, shule nzuri jamani. hawa nao tume ya uchaguzi inakuwaje wanaruhusu raia wa marekanii kupiga kura Tanzania. ccm na ukawa mnatuharibia utaratibu, mna watu kutoka ughaibuni ambao ni maraia wa uingereza,marekani,denmark,australia,germany,france na uswis wako Tanzania na wamejiandikisha kupiga kura na pia wapo wagombea udiwani na ubunge ambao ni raia wa nchi zingine,sasa demokrasia iko wapi Tanzania
Tumekuzoea na umeonekana siku nyingi kuwa na kibosile anayekufadhili endelea hatuhitaji kutupotezea muda wa kufungua mashine tena umepitwa na wakati. wewe kaa huko piga kura lakini umeshindwa kutete yale tunayoyalilia siku zote ajapo kiongozi basi mbele kwa mbele./ haya kila mpiga kura anajua haki yake sio lazima kujianika hapa..
3 comments:

Post a Comment