Monday, September 14, 2015

Kura tu, maneno, kelele havitupeleki Ikulu-Lowassa

7 comments:

  1. Kura tu!
    1.Maswali ya wananchi hutaki kujibu, unasema hayana maana,
    2.Kuelezea sera ya kile utakacho wafanyanyia wananchi hutaki,unawaambia wakasome kwenye website.
    3.Mpaka sasa hujajisafisha mbele ya wapiga kura (wananchi ),
    4.Wananchi wamefurika kwa maelfu kukusikiliza,umeishia kuwasalimu kwa dakika 4 tu,
    sasa mheshimiwa hiyo kura in Atoka wapi?

    ReplyDelete
  2. Kura tu!

  3. Kura tu kwake anaimanisha kula tu. Ndiyo hiyo anataka impeleke Ikulu.

    ReplyDelete
  4. we hapo juu Hivi unataka aje Nnyumbani kwako ndo akueleze sera zake?Watu wengine kweli malofa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkapa hakukosea Kuwait Malofa.kumbe unadhani jukumu la mgobea ni nini kama hawezi kuyafanya yote hayo.Anakodisha watu wa kumsafisha mpaka wa kumtolea speech!

      Delete
  5. kaka ndugu papaa ni mgonjwa hawezi kuhutubia kwa kwa Zaidi ya dk nne. ataanguka akisimama muda mrefu, halafu hana ubongo wa kujibu wa maswali Zaidi ya kusoma alichoandikiwa na kina tundu lisu

    ReplyDelete
  6. Wewe wa Septemba 14, 2015 at 9:10 PM unajua maana ya sera? Hatujasikia sera za mtu wako zaidi ya kulalamika na kurudia wenzake wanayosema!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake