ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 6, 2015

LOWASSA - NZEGA MJINI LEO

Chopa ya Mgombea Urais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, leo Septemba 6, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMA MICHUZI, NZEGA.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alieambatana na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe wakiwasili kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, tayari kwa Mkutano wa Kampeni, leo Septemba 6, 2015.

Baadhi ya wananchi wa Mji wa Nzega, Mkoani Tabora wakimshangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015
Mgombea wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula akizungumza na wananchi wake kabla ya kupigiwa kura ya wazi iliyompitisha kuwania nafasi hiyo na kumtupa nje Mwezake wa Chama cha CUF, Mezza Leonard (hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe
Mgombea wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula (kulia) akipeana mkono na aliekuwa Mgombea wa nafasi hiyo kwa Jimbo la Nzega mjini, Mezza Leonard (kati) akiekubali kushindwa baada ya kupigwa kura ya wazi na wananchi wa Nzega Mjini, leo leo Septemba 6, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, wakati akinadi sera zake katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.
Umati wa wananchi wa Nzega, wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.

Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.

1 comment:

Anonymous said...

Kwanini Ukawa wana kampeni kama ndio chama kilichopo madarakani?
-Wanatumia muda mrefu kuwa defensive zaidi kuliko kunadi sera zao.
-kwakuwa lengo la Ukawa ni kubadili status quo, wawaeleze wananchi ni wapi & kwa namna gani watafanya changes.Sasa hivi style ya kampeni yao haina tofauti na ya CCM,ya kupita na kuahidi yalex2 CCM wameyaweka kwenye ilani yao...ie,kujemga reli ya kati, kuboresha bandari etc.